Me nilikuwa namsubiri kwa hamuu nimjueBora ungekimbiza kisiri siri tu, kuna watu wanapenda mashindano humu.. Siunaona hawaonekani saa hizi, ila wakisikia umetangazo bato tu, utwaona speed ya duma..
Umejipangaaa au unaongeaa[emoji41] ninalitambua hilo.. na ndo mana sitaki ushindi wa mezani, natala ushindani
Umetulia baada ya MANYUU kushindaaNipo sana.. japo nmepunguza fujo.
Ukichaa ukinipanda nitakuja hapa kuwasumbua vibaya sanaa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Atabebea kwenye ndotooHahaa.. Hope utabeba tuzo safar hii, umejidhatit kweli kweli
Wacha ziendeeSiku zinakimbia sana
Hajui kuwa watu wako mawindoniiWe mwache tu
Bora amejisema mwenyeweeKumbe unakichaa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nenda milembeNdio...
Sema natumia dozi kipindi hiki ndo maba kimepungua
AIDS ndio nini???Naumwa AIDS
Niacheni nipumzike
............
Alifanya vizuri sanaBora amejisema mwenyewee
Utapata mwakaniMm mbio zangu ni za sakafuni tu, na hamasisha sana lakini ushindi sipati
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Hapo sasaHajui kuwa watu wako mawindonii
Kweli kabisaaSubiri ukirest in peace ndio utapumzika vizur
Watu wanawinda tuuHapo sasa
Itabidi tusiwe tunabishana naeAlifanya vizuri sana
Mwaka uisheeSiku 100 zilizobaki za nini Mussolin5?
Atapata tuuSidhan kama utaipata hiyo kazi[emoji16]
Kama kawaidaWatu wanawinda tuu
Jipange sanaaNITOBOEEEEEEEEEEEE...??
(Audience) toboaaaaaaa
mwenzenu mimi, nmekuja kuvizia post ya 110k.
Nakaribisha ushindani. Let the battle begins[emoji123]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndiko alikotoka hukoNenda milembe