Kweli basi ntaitoa maana ni mimi huyo...nilienda posta mpya pale karibu na CRDB kupiga picha ya Quality ya juu nimechoka selfie na picha mpauko shemela.
Ratiba ipo mida ya asubuhi Magazeti na Leo katika historia na jioni mida flani kuuna kuwa na nukuu pia kuna dj anatudondoshea music ya back to those days na weekends kuna old iz gold kama sikosei ngoja wenzagu wajazie

Naomba kama hutojali unijuze hiyo Avatar yako ni nani huyo tafadhali...kuna issue nahitaji kudiscuss nae huyo ni ya muhimu sana about "life and death".