Nenda ya 99Mbona mimi sijauona lakini? ni pag ya ngapi niutafute!!?
Wahaya wanabishana pale sujui sijaelewaUpi?
Basi nimeshachelewa ntailike tu page kesho...usiku mwema jiraniNenda ya 99
Haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeikota mahali wahaya wamefungua uzi wao basi watu wanawasagia balaaWahaya wanabishana pale sujui sijaelewa
Nawe piaBasi nimeshachelewa ntailike tu page kesho...usiku mwema jirani
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeikota mahali wahaya wamefungua uzi wao basi watu wanawasagia balaa