Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimefurahi sanaaaaaaaa.
Umenikumbusha Nat King Cole na Sarah Vaughan.
Saa hizi namsikiliza Sarah Vaughan daaah good old music.
Cobblepots we nakuelewa sana halafu unapenda mziki kweli... hadi Nat King Cole!! vipi unamuelewa na Toni Bennet na kibao chake cha Fly me to the moon? nae alikuwa anaimba Jazz au Frank Sinatra? au The drifters na kibao chao cha "under the boadwalk"ni shidaaa
 
I know all of them,
Starting with Louis Armstrong to Ella Fitzgerald.

🙂🙂🙂🙂
And then came B.B King and Eric Clapton with Soul music.
Its just good.
 
Omuhaya akagamba ti: Bahaya twemanye. Bana bange mwayehulilila. Nalekelela aha!

Poleni sana, mjitambue dhidi ya ccm, lakini sisi watanzania tupo pamoja nanyi.

acheni story kachangieni tetemeko kwenu.mmetusumbua weeee kumbe masikini wa kutosha.kwenye TV nyumba za bukoba mjini tumeona za tope kibao.asante tetemeko labda hawa inshomile watapunguza majigambo

Si ungesubiri pakuche ndio uchangie mkuu!!
Unaona sasa umeandika pumba za hatari!!!

Nzuri sana nsekwa, ni za wote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom