shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Man walikukosea nini?Poa ngoja tuone........huku POGBA FAKE kule SPECIAL ONE FAKE
Wewe Chama lako ni lipi?
Man walikukosea nini?Poa ngoja tuone........huku POGBA FAKE kule SPECIAL ONE FAKE
Acha tu, maana huyu ligi yangu haiwezi.Hebu muanzie maana me amenishinda
Na wewe unatuma tuPoa....sema kuna watu wanatuma kwa mpigo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu dj wetuNimefurahi sanaaaaaaaa.
Umenikumbusha Nat King Cole na Sarah Vaughan.
Saa hizi namsikiliza Sarah Vaughan daaah good old music.
Siko faster kama waoNa wewe unatuma tu
Chukua mazoezi sasaSiko faster kama wao
[emoji1] [emoji1] kumbe uwezo wake mdogoAcha tu, maana huyu ligi yangu haiwezi.
Nkiamua kumletea fujo atakimbia hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji34] acha uchocheziPoa ngoja tuone........huku POGBA FAKE kule SPECIAL ONE FAKE
Me BARCELONA [emoji1] [emoji1]Man walikukosea nini?
Wewe Chama lako ni lipi?
[emoji23] [emoji23] huo sio uchochezi......ila nyie mmetaka vitu fake[emoji34] acha uchochezi
Ngoja nianzeeChukua mazoezi sasa
England jeMe BARCELONA [emoji1] [emoji1]
MAN CITY[emoji4] [emoji4]England je
Ngoja ajeHilo swali gumu
Weka picha
Vipi twin alikuwa kwenye hesabu??Hivi Seriously anaoa!!?? [emoji15]
Za kuadimika, nawe pia usiku mwemaUck mwm wapendwa
Nafurahi kuwaona mkiwa wazima