Makapuku Forum

Mimi nipo ChitChat na Jukwaa la siasa napitaga mara moja moja kukiwa na ishu hot, MMU huwa napita nasoma thread za watu najichekea... linalonigusa nachangia nasepa...na tangu nijiunge JF sijawahi kutoa Uzi kama uzi zaidi ya humu tu ila segment ya Old is gold.
 
Nani aliyeiga huyo.....au kingongo???
 
Duh sikuwa na habari
 
1978 - Mkataba wa Ushirikiano na kumaliza tofauti kati ya Israel na Misri wasainiwa huko Nchini Marekani katika Eneo la mapumziko ya Rais yajulikanayo kama " Camp David "

Mkataba huo uliojulikana kama " Camp David Accords " ulihudhuriwa na Waziri Mkuu wa Israel Menachem Begin, Rais wa Misri Anwar Sadat pamoja na mwenyeji wao Rais Jimmy Carter.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…