makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
Ulidhani sintakuja au sio.. Kifurugobe wee.. Andunje wa misitu ya kongo..[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] umikuja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kama ni taifa we ni marekani aisee..Moyo mashine[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji444] [emoji443] [emoji442] [emoji445] [emoji444] [emoji443]
[emoji23] kwani ulikuwa alone?....kalaghabaho[emoji125] [emoji125] [emoji23]Ndio hapo sasa.. Staajabu ya werason uone ya sacajo
Amekaa tenge[emoji23] [emoji23]Amekaa upande
Read between the lines joh.....koh kohSasa achunge mke, kawa mbuzi yule..
We unachunga mke umekuwa baba paroko!!??
Mukongo iko ni kifurugobe..Mukongo iko na wivu mubaya sana
[emoji2][emoji2][emoji2] thibitisha kwa picha
[emoji106] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We ndio ulikuwa unataka ufanye mapinduzi[emoji13] [emoji13]
We mfate tu huyo mkongo man.. Utapotea. Shaur yako.. Unamjua vizur huyu kwanza wewe.. Nakuona tu unamfata ftaNaona unaanza kujitetea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeona nimekuja.. Umeumbuka ndio una log off..[emoji12] werrason signing out....
Makaveli10 mchizi wangu ana baby wake hapa na hawezi kuniharibia ilhali wa kumoyo wake yupo karibu yetu labda kama huyo mfanya mapinduzi ni weweWe mtetee tuu.....ila kaa ukijua mapinduzi loading.........
Huyu atakuwa ni mdigo[emoji23]We ndio ulikuwa unataka ufanye mapinduzi[emoji13] [emoji13]
Basi ngoja nifanye uchunguzi ili nijue kama Kweli kakuza mamboWerrason kakuza mambo..
Suu!! Selemende chupi lako lina mende.. Kibao.Suu[emoji1] [emoji1]
Jana kapigwa na kitu kizito-man u[emoji23]Leo sijamuona bitoz, kulikoni
Ngoja tusubiriIkitokea post ya kuhitaji ma picha picha utamuona tu bila shaka [emoji4] [emoji4]
Mwambie babu jinga....ashtuke mali zake zaliwWe mtetee tuu.....ila kaa ukijua mapinduzi loading.........
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yani we ni kama wanasiasa wetu tz hapa huna urafiki wala uadui wa kudumu
Af veeve[emoji115]Ulidhani sintakuja au sio.. Kifurugobe wee.. Andunje wa misitu ya kongo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]