1965 - Dmitry Medvedev anazaliwa.
Ni waziri Mkuu wa sasa wa Nchini Urusi na ambaye Alishawahi kuwa Rais wa 3 wa Nchi hiyo.
Yeye na Vladmir Putin ni watu wawili ambao huwa wanabadilishana uongozi.
Mmoja akiwa Rais mwingine ni Waziri Mkuu, hivyo hivyo daima hubadilishana.