Ok nimekupata shemela, kwahiyo ukishakuwa mtu mzima umekomaa na ni bongolala hazibust?? [emoji13][emoji13][emoji4]Inasemekana inasaidia Kuboost memory capacity Shem wa mie....wapeni watoto wenu Bamia na Mananasi kwa wingi.
Ili uweze kuelewa lengo la makapukuNimeusoma teyali ila bado sijaelewa kwa nini uliniambia niende page no 3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli ulikuwa addictedNdio nimecheza sana Super mario nilinunuliwa CD ya game mchanganyiko ikiwemo na S.mario....yaani mtu husomi ukilala unaota unaruka viunzi unapata hela kama S.mario [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisaYeah na alishaungama tayari na akasamehewa japo kuna sharti alipewa kama nakumbuka vizur
Hata mtu mzima inasaidia pia hakika!!Ok nimekupata shemela, kwahiyo ukishakuwa mtu mzima umekomaa na ni bongolala hazibust?? [emoji13][emoji13][emoji4]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nimecheka sana... Ngozi nyeusi hatujateuliwa sio? [emoji15][emoji15]Huko ni wateule tu!
Zipo.. Si wajua kazi yake.. Nakuletea nyingi tu zako na zangu..Nikajua umenipatia Chokoleti[emoji17]
Kesho ole wako ukoquote kile kingongoUsiku mwema Kapukuz!! nyie endeleeni mi ngoja nimuone Chatle anahutubia ITV wale watu wa Quarters za Magomeni! nione kama ana mpya
Erasto B. MpembaNani huyo?
PSG piga mbwer haoooKikofia kwa mbwembwe hujambo
HahahaEehh... Hata aijamalza kupost tayar wamwahatupiwa.. Wenger kocha mpumbav zaid