Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,399
Umeshapata ya kwako?Shouts out to Chocolate...[emoji4][emoji4][emoji4]
Mia miaAsante Le Dictator Mussolin5[emoji5]
Halafu wabongo kutwa kujisifia ooh mi sili sembe huyo Mzee wala Dona halijuiMambo ya Dona
Kwanini humuamini na wewe??Mi simuamini hata![emoji23][emoji16]
Au uwe mvuvi wa kuvua watuNi chunge kondoo
Kuna movie flan hivi 2pac aliact inaitwa JUICE kalikuwa kadogo kweli....japo sikupenda scene waliyompa[emoji58][emoji58][emoji58]
Baada ya kuonja au??Nitathibitisha baadae
[emoji23][emoji23][emoji23] kazi gani hiyo ama ya ukulima wa watoto?? [emoji125][emoji125][emoji125]Ati Alikuwa kazini [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Kwanini huniamini???Mi simuamini hata![emoji23][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio!Hiyo Amar, wabongo walikuwa wanamuita Omari
Umenena vyema mkuuAacha kufukuza kondoo wewe
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Pamoja bablai.
Mimi siku ya Alhamisi na ijumaa huwa ni ya bahati kwangu kwa tarehe sijafuatiliaWanaamini katika Masonic
Hahaha, tageti zako siziwezi kamanda.....duhNi chunge kondoo
[emoji104] [emoji104] [emoji104]Shouts out to Chocolate...[emoji4][emoji4][emoji4]
Yeye alikuwa anakula chakula cha asili ya kwaoHalafu wabongo kutwa kujisifia ooh mi sili sembe huyo Mzee wala Dona halijui
Ok lakini sio kwa vipengele kama fisikia mana huko naonaga ngozi nyeupe tuMbona wengi, kama Mandela
Umeuliza jibuBaada ya kuonja au??
Ni poa sana karibu jamviniNi poa joh, mishe ni nini!?
Unaanza uchochezi??[emoji111] [emoji111] [emoji111]