Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,322
- 68,398
Kweli kabisa Mkuu......wala hujakosea [emoji4] [emoji4] [emoji4]I bet u're Good boy[emoji6] [emoji6]
NIMBA WWWe njokopae ni nn mbayaa
Nna watu wangu wawili wa karibu walizaliwa hiyo tarehe na mwezi wako vizuri na ndo ma-role model wanguKama nani???
At its best[emoji35] uchochezi
We nipe kura yako..Hata mimi id yangu ni ya ukweli.......tafuta point nyingine
Nilifika mpaka kwenye serikali yako ya mtaa, sikukupata..Muongo wewe, mbona hukunitafuta?
Hahaaa poa poa... Pamoja sana man[emoji666]Ni vyema mkuu .. Natamani siku moja nihudhurie shoo yake hata moja ...
←→Mpe salaam sana na waungwana wote wa mikeshaa¡
R.I.P1996 - Tupac Amar Shakur anafariki Dunia.
Alikuwa ni rapa wa muziki wa Hiphop toka nchini Marekani.
Anachukuliwa kama mmoja kati ya rapa mwenye ushawishi na bora wa wakati wote.
Ni miongoni mwa watu wachache ambao wameendelea kuwa maarufu hata baada ya miaka mingi kupita baada ya vifo vyao kando ya Mwanamapinduzi Ernesto Che Guevara na mwanamuziki wa regge Bob Marley.
Tupac aka Makaveli alifariki baada ya kupigwa risasi kadhaa wiki moja baadae ndio anafariki baada ya kiasi kikubwa sana cha damu kuvuja ndani ya mwili.
Pamoja na yote hayo kuna wanaoamini Tupac hajafa, Alifeki kifo chake ili apunguze kufatiliwa.
Kwa wale wanaoamini kuwa Tupac amefariki wanaamini Big ndio aliyemuua baada ya kutoelewana kisa Tupac alitembea na mwanamke wa Big Notorius aliyitwa Faith Evans.
Pia kuna wanaoamini Tupac aliuwawa na bosi wake na mmiliki wa Death row Inc. ambaye ni Suge Knight.
Baba wa ubatizo wa Tupac alifariki na kuzikwa Tanzania, alijulikana kama Geronimo Pratt.
Leo ni miaka 20 toka 2pac afe bado anabaki kama rapa bora wa wakati wote.
Pumzika amani 2pac.
Yeah.. Nilikuwa nalea kakaake.. Uncle yako Bristol..Ni poa sana dadake, hivi ulishajifungua?? Mana mara ya mwisho hapa nliskia Quigley ameweka ki-zygote hapo [emoji41] [emoji4] [emoji4]
1989 - Thomas Muller anazaliwa.
Kiungo Mshambuliaji wa timu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.
Ni mmoja kati ya wachezaji wanaojua kukaa kwenye nafasi na kumalizia mipira kwenye nyavu.
Sifa kuu ya Muller unaweza usimuone anachofanya uwanjani kwani si mtu wa mambo mengi, ika utamuona pale anapofunga goli au kutoa pasi ya goli.
Ni aina ya wachezaji ambao ni complete kwani ana uwezo wa kukaba na kushambulia, mimi huwa namfananisha na JS Park.
Thanks..Karibu
Basi sawa mkuuNna watu wangu wawili wa karibu walizaliwa hiyo tarehe na mwezi wako vizuri na ndo ma-role model wangu
Utapata we subiriWe nipe kura yako..
Yeye ndio wa mchangani.....Hongera kwa 105k, wamchangani walikuwa wanaivizia
Hii sasa sifa!!Jimenaaaa
105k
Nimeshasahau sasa daaahKwani ulimreply nani
........