Makapuku Forum

Nilikuwa namkubali sana huyu mtu
 

Kingongo
.......
 
Mashujaa wasioimbwa kwa kuwa walikuwa mlengo wa kushoto!
 
NUKUU NO 3#

Nchi hizi za Marekani na Uingereza wamejichukulia mamlaka ya kuamua kwa niaba yetu kuhusu maendeleo ya Dunia
Na hata kuingilia masuala yetu ya ndani na kupandikiza kile wanachokiita mabadiliko ya kiutawala.

Maneno haya yamepata kutamkwa na Rais wa sasa wa Zimbabwe, ROBART Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa Feb 21,1924, ni mwanamapinduzi aliyewahi kuongoza kundi la wapigania uhuru wa nchi hiyo kutoka kwa walowezi wa Uingereza.
Ni mwenyekiti wa Zimbabwe Africa National Union -Patriotic Front (ZANU-PF) tangu 1975, hiki ni Chama kilichopigania uhuru wa Zimbabwe
 

Babu kauzu
Rais wa maisha
.......
 
Komredi Mugabe atafia madarakani.

Viongozi wa kariba ya Mugabe wanazaliwa wachache sana katika kizazi hiki cha Instagilamu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…