Nimemuelewa
Mmmmh......mbona hajiheshimu sasa????Huyu ni Mdogo wangu aisee
Kazoea mazingaombwe na kusoma vitabu zen kujifanya mzee wa busara na intelligentNa Jana pia apolo kamnyoosha hapo hapo yani kabaki mweupeee
Tangu lini Lulu anajiheshimu?..Shululu ndo kaka mtuMmmmh......mbona hajiheshimu sasa????
Kiranga nomaHAHAHAAAAA! Yani Nmecheka kwa herufi kubwa.
Yani jamaa aliumbuliwa mbayaaa, kabakia kuleta vi-emoj vyake vya kuchekecheka like this""
Akaitwa MJINGA, MVIVU, ********
Sema labda anatangaza biashara......Maana biashara bila matangazo unaweza kosa watejaTangu lini Lulu anajiheshimu?..Shululu ndo kaka mtu
.....
Mambo ya kawaida hayoSema labda anatangaza biashara......Maana biashara bila matangazo unaweza kosa wateja
Aaaah wewe, nilishawahi kubishana mwaka jana, nikamtema, inabidi uwe na kichwa kigumu ndio ufanye naye mjadalaEmbu enda kaanzishe naye mjadala
Kweli Mkuu.....na me naonaMambo ya kawaida hayo
Heshima ipo kijijini
.......
Halafu mkuu uelewe chitchat kuna KF na Vingongo Forum ni chui na pakaAaaah wewe, nilishawahi kubishana mwaka jana, nikamtema, inabidi uwe na kichwa kigumu ndio ufanye naye mjadala
Kweli Mkuu.....na me naona
Safi sana Great thinker nilijua ni mm mwenyewe ndo nafuatilia ule mpambano kumbe na nyie hamko nyumaNa Jana pia apolo kamnyoosha hapo hapo yani kabaki mweupeee
Kazi unayoHii thread ipo na comments zaid ya 100k kurarek uanze kupitia kila aiih Tetemeko la ardhi itakukutia hapo..
Mjini kila mtu na hamsini zakeMambo ya kawaida hayo
Heshima ipo kijijini
.......
Kile si ndo kinapondaga Kf kule member onlyUkiunganishe na kile kingongo
........
Halafu mkuu uelewe chitchat kuna KF na Vingongo Forum ni chui na paka
Sisi hatuendi kwao lkn wao vinganganizi wanakuja kwetu zen tunawakaushia
Uwe unasema mchezo
Tupo 10 wote kimya lkn peke yako unakomaa na mtu
Ndo style yetu
.....................