Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Acha ubishiIla sio kweli
Km unajua kubisha nenda Jamii Intelligent ushindane na Kiranga
.......
Acha ubishiIla sio kweli
Jonax yupo mombasa atakazaje ulimi kwa mfanoUkiongea maneno hayo unatakiwa unakaza ulimi......maana usipokaza Ni moja ya dalili za uchochezi![]()
![]()
Mshuhulikie haraka iwezekanavyoNimemuona itabidi nimtengenezee kamati ya maadili kabla ya kumkamata
Nianze kumchombeza tu huenda akanihurumiaHahahaha, unataka ukamkwide???
SometimesKwani kifo kinatafutwa
Hapo inatakiwa aseme baadhi na sio kujumlisha woteeBisha tu
![]()
![]()
![]()
......
We bitoz n shidaaaHaya msalimie
.........
Great thinkerNikiitafakari hiiView attachment 399310naona bora nibakie huku huku nilipo
Wewe nyuma au?kafie mbele huko...
Labda kamanda wa kucheza gololiHujui kama mimi ndio nilikuwa kamanda wao???
HaaaahaaaaAcha ubishi
Km unajua kubisha nenda Jamii Intelligent ushindane na Kiranga
![]()
![]()
![]()
.......
Nasikia mchawi wenu kafa kwahiyo mtabaki hivyo hivyoLeta dawa ya kujiongeza
Kibogoyo huwa anasaga kwanza kabla ya kulaMbona hushangai kibogoyo akila mahindi ua kichoma?

Cc bitozHapo inatakiwa aseme baadhi na sio kujumlisha wotee
Hapana, kwa mazingira umepolitumia sidhani kama umemaanisha ile ya kabla ya swalaKwani kutawadha ni ugomvi
Kwahiyo waislamu wanafanya tusi?
![]()
![]()
![]()
......
Na huyu pia mshughulikieManeno yako ni ya kichochezi
Yupi huyoNasikia mchawi wenu kafa kwahiyo mtabaki hivyo hivyo