huku salama,mwajionaje na hali hapaTuko poawa. Za kwenu huko
Gud moning @buriz
Nalog off, akirudi mpe hi sanaaKaishasikia
Tuko powa kabisa, tunalijenga chama letuhuku salama,mwajionaje na hali hapa
sawa kabisa,ngoja niwaache niende kwenye majukumuTuko powa kabisa, tunalijenga chama letu
Shukrani kwa ujumbe murua kabisa,Mtoto mmoja alimuuliza baba yake. "Baba, hivi Mungu ni mkubwa kiasi gani?" Baba yake akatazama juu angani akaona ndege ya abiria akamuuliza mwanae "mwanangu, ile ndege ina ukubwa Gani?" Mtoto akajibu ni ndogo sana.
Basi Baba yake akamchukua hadi uwanja wa ndege walipofika karibu na ndege akamuonesha ndege akamuuliza " ile ndege ina ukubwa gani?? Mtoto akajibu "Hiyo Ndege ni Kuuuubwa sana" basi Baba yake akamwambia
..
"Mwanangu, hivyo ndivyo ilivyo kuhusu ukubwa wa Mungu, mara zote hutegemea wewe upo umbali gani ili kuona ama kujua ukubwa wake." "Ukiwa mbali na Mungu kiroho utaona Mungu ni mdogo sana, ila ukiwa karibu naye wakati wote Utamwona ni mkubwa kuliko kawaida na hakuna mfano wa kulinganisha"
Sogea karibu na M ungu Mpendwa ili uhisi uwepo na ukuu wake.
........................
Majukumu mema, na kaibu tenasawa kabisa,ngoja niwaache niende kwenye majukumu
Karibu unaokoka sasaMtoto mmoja alimuuliza baba yake. "Baba, hivi Mungu ni mkubwa kiasi gani?" Baba yake akatazama juu angani akaona ndege ya abiria akamuuliza mwanae "mwanangu, ile ndege ina ukubwa Gani?" Mtoto akajibu ni ndogo sana.
Basi Baba yake akamchukua hadi uwanja wa ndege walipofika karibu na ndege akamuonesha ndege akamuuliza " ile ndege ina ukubwa gani?? Mtoto akajibu "Hiyo Ndege ni Kuuuubwa sana" basi Baba yake akamwambia
..
"Mwanangu, hivyo ndivyo ilivyo kuhusu ukubwa wa Mungu, mara zote hutegemea wewe upo umbali gani ili kuona ama kujua ukubwa wake." "Ukiwa mbali na Mungu kiroho utaona Mungu ni mdogo sana, ila ukiwa karibu naye wakati wote Utamwona ni mkubwa kuliko kawaida na hakuna mfano wa kulinganisha"
Sogea karibu na M ungu Mpendwa ili uhisi uwepo na ukuu wake.
........................
Hata kupigwa chini ni sifa kuu...... Anyway, yaishe
Yule wa janakwani ni demu gani niliyewahi kumtongoza hadi nipigwe chini?
Kaishasikia
Mwenyewe swezi kuwa serious ninapoongea na wewe, labda iwe ni sensitive issueSiyo kila nikisemacho, basi niko serious.. nna watoto wawili now, niko hapa kwa ajili ya kufurahisha siyo kila ukionacho kipo sahihi
Yule wa jana
Wewe tutakupa kitengo cha jikoni, utakuwa unatuandalia mapishiAsante sana mkuu
Wewe tutakupa kitengo cha jikoni, utakuwa unatuandalia mapishi
UsijaliShukrani kwa ujumbe murua kabisa,
Kumbe na matozi wanaendaga kanisani hahahaaa😀😀