Makapuku Forum

πŸ™πŸ™
Utamuweza jonax kila post anajibu kwa lisokwe, au watu wasioeleweka
Aisee sio poa
Tufanye swaga ambazo haziwezi kuwakwaza watu.......Hapa tunaondoa stress sio kupeana stress au kutishana.
Tunarekebishana kiungwana bila kugombana
Nafikiri ujumbe umemfikia kwahiyo potezea tupige stori zingine
............
 
Si unajua wote ni wamoja
Tunarekebishana inapobidi
KF inafuatiliwa na watu wengi(wamesubscribe)
Haipendezi kuwakwaza watu bila sababu
..............
Bitoz nimekuunga mkono, mara nyingine watu wanatupia vitu vya mzaha kila post, mtu ukakosa la kuchangia unapita kimyakimya.
Hapa umenifunza kitu sio kwa jonax tu hata mimi nimejifunza kitu kuwa sio kila wakati unafaa kwa mzaha...thanx
 
Hata ww siku hizi nakuona upo poa sio km zamani
Hapa tunapiga swaga,tunataniana n.k lakini isitufanye tupageuze pipa la taka
.................
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…