sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
ndo huyo huyo mkuuYupi huyo au ngariba faiza foxy nini!
ndo huyo huyo mkuuYupi huyo au ngariba faiza foxy nini!
Asante mkuu,ninaimani my sweetie akisikia hii habari atafurahi sana.Nahrene na youngblood .....naanza pledge ukumbi na vinywaji juu yangu......msiwe na wasiwasi mimi kapuku mbishi mjini kinywaji chochote kile kitakuwepo...kazi kwenu.....karibuni kwa pledge
Wakongwe wanaruka ruka, jamani wakongwe haaoo, wakongwe wananesanesa wakongwe haooo!!, wakongwe wanaruka ruka,wakongwe hao, mamaa wakongwe hao, maselaa wakongwe hao, kinondoni wakongwe haooo wanaruka ruka(in snura's voice)
SIKUTAKI... Dhambi ya kutafunwa na mkongwe wewe na iniepukeOh!! my jimeee...usikatae tafadhali.
kubali nikuburudishe kwa kila namna!!
saaafi ungemkubali ningekua wa kwanza kuweka pingamizi kwa padre JambiloSIKUTAKI... Dhambi ya kutafunwa na mkongwe wewe na iniepuke

Nawe piaMKESHE SALAMA....USIKU MWEMA WOTE
SIKUTAKI... Dhambi ya kutafunwa na mkongwe wewe na iniepuke
sawa.Usiku mwema hnyMpenzi wangu aggyjay nataka kulala.
Hahaha![]()
Wapi Ngedere Ungabu ?
![]()
![]()
![]()
![]()
...............
Kumbe Jambilo ndio padre???saaafi ungemkubali ningekua wa kwanza kuweka pingamizi kwa padre Jambilo![]()
![]()
Absolutely!Huyo kama ni mkongo Jimena plz do not give him your cookies, kama kutafunana is a must tutatafunana makapuku kwa makapuku🙂🙂
Unachelewa sana kujibu mpenzi wangu sijui tatizo nini!sawa.Usiku mwema hny
Mi sio timu popo leoTeam popo mpooooooo

mpaka kukuchweTeam popo mpooooooo
Absolutely!
Hiyo dhambi mi siwezi kuibeba kabisa, aende love conect tu maana hakuna namna nyingine
Aaah upopo mapema yote hii mkuuTeam popo mpooooooo
Ndo mana mi siupendi usingizi
Kwanini tenaMi sio timu popo leo![]()
Kama kalambwandampaka kukuchwe