Miss ya broUjue honestly hii thread imeleta msisimko mpya JF....
Hatari sana mkuu,umemisi vingi.Youngblood hii kitu nouma😱😱
Khaaa!!
mkuu kwani wewe ni she au heasante naona huku kila mtu na mtuwe
Unapotea sana kakaNiko hapa kubeza likes na to show some love to ma people...😀
Kwani umeomba nini? Si umesema nifute pm na nimeshafuta?great!! sasa kamilisha basi kwa kunipa jibu la ndiyo.
Kweli kabisa,kila mtu anatamani kufungua aone nini kinaendelea.Ujue honestly hii thread imeleta msisimko mpya JF....
Hawezi kutoa kafara hapa nimewaombea woteeejambilo njoo uokoe jahazi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Jimeee...ulifuta bila kusoma? nilisema tupeane kampani hapa...nikuite babe!! si unajua tena jinsi ulivyo mwaaah?Kwani umeomba nini? Si umesema nifute pm na nimeshafuta?
Wanatamani kujisogeza lakini wanaona aibu.Haswaaaa kwa chuki kwa moyo WATAIPENDA TU
Hapana shem shaka ondoa manuu mwaminifuMmmhhhh![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio mnavyoteteana hivyo
Haya nimekubal..ntamsubir had arud.silali
Miss ya bro
Hatari sana mkuu,umemisi vingi.
Unapotea sana kaka
Usijali mkuu likes utapata za kukutosha.Niko hapa kubeza likes na to show some love to ma people...😀
Kwa wikiendi kama hii Ulinzi ni mgumu, sijui labda tujaribu junapiliI am here to stay! Jimena naomba tuwe walinzi wa zamu kesho jmosi hamna ofisi.
The name nimerudi mkuu.
Youngblood naona unatanua tu na nahrene, you guys are blooming so well
He kwani vipi????mkuu kwani wewe ni she au he
Karibu tena kakaI am here to stay! Jimena naomba tuwe walinzi wa zamu kesho jmosi hamna ofisi.
The name nimerudi mkuu.
Youngblood naona unatanua tu na nahrene, you guys are blooming so well
Wamekukimbia mkuuUsijali mkuu likes utapata za kukutosha.
Nasubiri jibu kwa hamu akikwambia nistuemkuu kwani wewe ni she au he