Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Sawa mkuumuda bado sana chief
Sawa mkuumuda bado sana chief
Amsha amsha tuAaah upopo mapema yote hii mkuu
teh teh teh kwani we huwa unaota nini mkuu [emoji1] [emoji1]Ndo mana mi siupendi usingizi
Hapana, shemeji yako yupo ila hataki kujiweka hadharani kwa sasaFor dat case ngoja nikutafutie kakapuku kenye swaga ka za ngedele ungabu or unataka swaga ka za th name?!
mimi naomba tu niwe kaka au anko wako aseeHapana, shemeji yako yupo ila hataki kujiweka hadharani kwa sasa
Huwa naota mahaba sa sijui ntayala vp?teh teh teh kwani we huwa unaota nini mkuu [emoji1] [emoji1]
Hapana, shemeji yako yupo ila hataki kujiweka hadharani kwa sasa
Mimi leo mapemaaaTeam popo mpooooooo
uwe unawaota watoto wazuri tu [emoji126] [emoji126]Huwa naota mahaba sa sijui ntayala vp?
unamuwahi shemejiMi sio timu popo leo[emoji85]
Ahaa [emoji4] ngoja nikikosa mbembelezaji nakeshaAmsha amsha tu
Mvua, itakuwa text zake zinakwama sababu ya foleni, au zinalowanaUnachelewa sana kujibu mpenzi wangu sijui tatizo nini!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ahaa [emoji4] ngoja nikikosa mbembelezaji nakesha
Ndio, kwan we ukiotaga hzo ndoto huwa wanakuja wabaya??uwe unawaota watoto wazuri tu [emoji126] [emoji126]
niote kwani mimi ni mbegu [emoji35] [emoji35]Ndio, kwan we ukiotaga hzo ndoto huwa wanakuja wabaya??
Nawe pia kapuku mkongweUsiku mwema MAKAPUKU wote.
Usiku mwemaUsiku mwema MAKAPUKU wote.