None of themWerrason starehe yako ni nini?? chagua hapa
1. Pombe
2. Sigara
3. Bangi
4. Vishkwambi
5. Michezo kuangalia sana
6. Mazoezi ya mwili.
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Be free, Sweetiepie yuko poa tu.iAmuna, Amuna Papaa
Apres midi PapaaBon apremid papaaa
We msukma
We Mzaire nilijua umeuliza hufahamu kumbe wafahamu eeh?? Sasa hiyo unaweza kuitafsiri vyovyote but kirefu ni District of Columbia...why? sijui. Devil city inamake sense pia...
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Bwahahahahahaaaa
Amuna, nimeshangaa alivyo na nyota ya kupendwa PapaaBe free, Sweetiepie yuko poa tu.i
Mi nimeshashindwa....inakuja kila nikiitoa inarudi...hata sijui nifanyeje na sipendi kweli kila mtu ajue natumia simu ya aina gani....Sweetiepie vipi hiyo signature yako imetembea balaa using sijui nini halafu ina malizia jamii forum
Wallah utakuwa una tatizo...haiwezekani! hapo angalau hata namba 1 ilibidi ihusike bhaana mwenzio Shululu namba 4None of them
Nna mashaka na upendo wako unanikejeli...mbona unacheka hivyo?Swtp nakupendaa
Mi nimeshashindwa....inakuja kila nikiitoa inarudi...hata sijui nifanyeje na sipendi kweli kila mtu ajue natumia simu ya aina gani....
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Me Ibada kwa thanaWallah utakuwa una tatizo...haiwezekani! hapo angalau hata namba 1 ilibidi ihusike bhaana mwenzio Shululu namba 4.
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Kuna sehemu imejiweka tick...nikitoa inarudi tuUkiwa umetoka ku instal hiyo application ya jf kuna baadhi ya simu zinauliza wakat unatuma coment iambatane na signature pole sana bana
Kukupa nini sasaMe Ibada kwa thana, veepe kwani, ulitaka kunipa???
Nakupenda sana my dear, nashangaa hulioni hiloNna mashaka na upendo wako unanikejeli...mbona unacheka hivyo?
Na wewe ni Chichachimba kumbe eeh??Umejizuia kusema nini kamanda?
Mukongo unadhani?? wala! wasichana tuko wachache humu ndio maana! waje na wengine uone kama nitapendwa. Nadhan hilo neno kapuku limewakimbiza wanadhani wanaume wa humu Wallet hazisomi. Wanawake wenzangu Mungu anawaonaAmuna, nimeshangaa alivyo na nyota ya kupendwa Papaa