2015 - Malkia Elizabeth anakuwa Kiongozi aliyetawala zaidi nchini Uingereza.
Ambapo mpaka sasa ameshatawala miaka 64 akiwa madarakani kama Malkia wa nchi hiyo pamoja na nchi nyinginezo kama vile, Canada, Australia, Wales, Scotland na Northern Ireland.