Mi nilikaa hostel A level na masela anavuta bangi alijaribu kunivitisha lakini hakuwahi kufa nikiwa...vipisi vyake nilikuwa navifagia tuEnzi ya doso! Sikuwahi kuona utamu wake nikaacha!!
Nakunywa mara chache tena kiduchuuuuuuuuMie pombe sinywi, sigara sivuti mkuu!!
Jambo zuri mkuu!!Nakunywa mara chache tena kiduchuuuuuuuu
Now nimeanza kuacha kabisa
Nafikiri mwaka huu ndo mwisho
.................
Sina pressureWasi wasi wako ni nini bitoz
Unapigwa zen mnuno jioni nzimaMchana kweupeee!!
Unapigwa unaenda kulala...
Niwashie jeSijawahi vuta japo Uswaz washikaji zangu 70% wameishia kuwa mateja
Mi pombe nakunywa
..........
Sijaona faida ya pombe zaidi ya kuongeza kojoJambo zuri mkuu!!
Hahaa... Ndio ilikuwa michezo yako nini kaka.kitambo sana mambo ya kuvuta fegi chooni.
Nakuona wee mtoto wa baba..Nakuona mtoto wa mama
..........
Poa mkuuZimefika mkuu, yupo hapa amechoka alikua na mishemishe mchana kutwa
Pogba ni mchezaji mzur tu hilo halina ubishi, mechi moja haiwez kumshusha vyeo.Tusubiri Manchester Derby
Ndo tuongee
.........
Nashkuru nimepona vingi.. Pombe mie no kabisa.Sijawahi vuta japo Uswaz washikaji zangu 70% wameishia kuwa mateja
Mi pombe nakunywa
..........
Na usiombee kitaa uwe na wapinzani akina TakumaUnapigwa zen mnuno jioni nzima
.... ......
Nishaanza kuachaNashkuru nimepona vingi.. Pombe mie no kabisa.
Bangi noma..Mi nilikaa hostel A level na masela anavuta bangi alijaribu kunivitisha lakini hakuwahi kufa nikiwa...vipisi vyake nilikuwa navifagia tu
Alikuwa anasahau maandazi gheto week nzima hadi yanaharibika ndo namshtua...alikuwa anasahau begi tukiwa kwa Mama Nrilie na nilikuwa nauchuna hadi tufike gheto kumkomesha tu
Chezea bangiView attachment 396534
...............
Kitambi vp?Sijaona faida ya pombe zaidi ya kuongeza kojo
...........
Ujana una mambo mengi sanaHahaa... Ndio ilikuwa michezo yako nini kaka.
Kuwavua sketi?Nishaanza kuacha
Now starehe yangu ni vishikwambi
...........
Hahaa... KamnywesoNishaanza kuacha
Now starehe yangu ni vishikwambi
...........