Fundi mmoja, anafinya na kulia, anapiga shoot na kushoto, ana receive na kushoto anatoa pasi na kulia.. Mchezaj ninaemuadmire zaid, cz uchezaj wangu wote,katika kipaji changu sikubalikiwa hilo tu.. Nikimuona mtu anatumia miguu yote ipasavyo namuonea gere..