Makapuku Forum

Option ya DELETE ndo imewachanganya watu badala ya kusoma # wao wakaangalia mtu wa mwisho kwenye page
Wkt post zingine zimefutwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...............
Your genius....

Kwel kabisa... post zimefutwta ndo mana QUIGLEY akakosa ushindi.
Thumbz up bro.

Ila kna watu wangu huku kesho ntawatania mbayaaaa watakomaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…