Makapuku Forum

Makapuku Forum ndio thread yenye mafanikio zaid toka JF kuanzishwa kwake kwani ndani ya siku 6 imekuwa na view 68k na comment 9k hii haijawai tokea JF hvyo ni Jambo la kujipongeza makapuku kwa ushirikiano wetu
Itabidi tupewe umod...Nilipojiunga Jf niliusoma kwanza mchezo zen nikaanza kutoa thread na KUTUKANWA SANA lkn sikutukana mtu ...sasa hivi sina hata shida ya kuanzisha thread hii tayari ni FUNIKA BOVU labda tu siku nijisikie...watajutia jinsi walivyokuwa wanatudhsrau
Sijawahi kula BAN
...................................................
Huu ni ushindi kwa Makapuku wote
........................................................

GOD BLESS KAPUKUZ
.....................
 
Shukrani kwa wazo zuri Peezidaa wa Makapuku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…