Makapuku Forum

Kwa makapuku wote;
Napenda kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa mchango wenu wa katika uzi huu pendwa,
Ambao leo umeweka REKODI ya uzi wenye posts nyingi zaidi jf.
Zaidi ya yote pia napenda kuwashukuru kuniwezesha kuwa mshindi wa post ya 100,000, isingekuwa ushindani wenu mlioutoa nisingeweza kuwa mshindi,
Bitoz asante kwa ubunifu,
Jimena shukrani kwa chango wako kwa kufanikisha uzi huu kwa ushauri wako,
Billy5 nawe umehusika sana,

Wanachama hawa pia wamekuwa mstari wa mbele katka kusukuma uzi huu;
Musolin5 a.k.a dikteta
Briz..a.k.a baba jj
Shululu a.k.a simba mwenda pole
Sweetiepie...???
Na wengine wengi.

Ushauri
Tuendelea kushikamana zaidi wanduguu
 
Pamoja sana bepari
 
View attachment 395133
W.I.N.N.E.R
Hongera
Sasa mvizie ya 150k
.................
..................
*************
Hongera za pekee ziende kwa Katibu wangu kwa 100k, Nilianza mimi kwa 50k yeye amefata kwa 100k.

Kama ni tuzo mpaka sasa [HASHTAG]#TeamWekaPicha[/HASHTAG] kabati letu liko vizuri kwani tuzo zipo mbili.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…