Nimefurahi sana jinsi forum ilivyokuwa busy kila mmoja akipambana kutaka kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa kupata 100k.
Huu ni ubunifu wa pekee ambao pengine sisi ndio waasisi hapa JF.
Tuendelee na KF yetu, maana ndio uzi pekee uliofikia Milestone ya 100k toka kuanza kwa JF miaka 10 pekee.
Tuzidi kushirikiana kwani kwa sasa tupo kama ndugu, ingawa hatujuani kwa sura lakini upendo uliopo ni Mkubwa sana!
Pia nawakumbuka sana wenzetu walioishia njiani kama
Szczesny naomba 100k iwe kwa heshima yake!
Ni wenu Mussolin5
a.k.a
Dikteta
Komredi
Bepari
Mwenyekiti.
Ahsanteni sana, amani iwe kwenu.