Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Mbona unamuonea sana huyu mzee???[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Mbona unamuonea sana huyu mzee???[emoji23][emoji23][emoji23]
Usihofu, nitaacha...
Embu nitokeee hapa we kingongoJiko lako la kuni we mpishi
Utameza moshi zen ujambe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Ipo mbona! sema naona simu ndio iko flexible zaidi naweza hata nikaingia chooni huku nachat...[emoji4][emoji4] PC kwa muvi na kazi za kiofisi zaidi.Tafutaga na ka pc mapema lasivyo urafiki na [emoji470]
[emoji2][emoji2][emoji2] nishakaribia shem...naona speed ni kubwa mno ndo najitahidi hapa kumfikia [emoji4]Karibu tena shem....my wife amakuuliziaga...in Sengaz voice....[emoji16][emoji16]
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Jiandae twenze2.Hotelini, lakin naogopa kwenda mwenyewe..wahudumu ni warembo sana nataka kampani yako
Kwani mm ni kuku mpaka nitage?
Naenda nae mgahawani muendelee tu kula[emoji23][emoji23]Ngoja briz aje
Hilo ndilo linarokukosesha mkeUsihofu, nitaacha...
View attachment 395058
Hongera!![emoji2][emoji2][emoji2] nishakaribia shem...naona speed ni kubwa mno ndo najitahidi hapa kumfikia [emoji4]
Ww siunaona mwenyewe jinsi wanavyonichokoza yeye na BitozUmuache jirani yangu miaka 1000000 [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Hii speed inatisha sana[emoji2][emoji2][emoji2] nishakaribia shem...naona speed ni kubwa mno ndo najitahidi hapa kumfikia [emoji4]
Watu na viinglish vyao
Cc Quigley
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo ukoje huo mchuzi mkuu??Silagi mgahawani, huko wanapikia mchuzi wa vyupi
Hapana simuonei tenaMbona unamuonea sana huyu mzee???[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ww siunaona mwenyewe jinsi wanavyonichokoza yeye na Bitoz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cc Quigley
Apumzike kwa amani