Yupo wapi ibra87 youngblood damtanzania Th Name EMMYGUY tukae....
Ila Mimi nimesha weka kura yangu ya hapanayes

Mbali hivyo???Haifiki SAA 22:30 itakuwa imetimia kaka
Sasa wewe kila mtu ana hiari ya kusema anataka nini this is my choice mzigo a.k. a. KifungashioYoungblood na eden kimario acheni kujadili maumbo ya dada zetu jukwaa hili ni la makapuku wote hatubaguani na itikadi hazipo alaaa!!
hapana..We ndo bb mchungaj unaefungisha au??nimeona unamwaga mistar ya biblia kila konaKaribu sana, unataarifa kuwa amaizing na manuu watafunga ndoa hiv karibuni!
Naona umefika mdogo anguUnaonaje tukinunua 3 za kwanza sweety
Nigaie mimi Petema-like kibao sijui nimpunguzie nani
Hatari sanaTuko hapahapa tukitaka kuidhihirishia JF na wakongwe wake kuwa MAKAPUKU FORUM ni zaid ya jukwaa
Mkuu hilo lazima litimiee...Itabidi tufanye hivyo
hapa kazi tuPoleni na kazi
Mimima-like kibao sijui nimpunguzie nani
ooh Haleluuya..Vita vyetu c juu ya damu na nyama bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya mamlaka ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho Efeso 6:,12
Kweli inabidi tujitolee 3 za kwanza sweetheart.Unaonaje tukinunua 3 za kwanza sweety
All the best brazaMkuu hilo lazima litimiee...
Ngoja nimalize kess yangu Leo...
Hahaha wewe wasema.hapana..We ndo bb mchungaj unaefungisha au??nimeona unamwaga mistar ya biblia kila kona
Nakuona tu mwenendo wakokwanini mpenzi
Kijana upoo
Nilikuwa mbali, nikawa nakutafuta sikuoni. Ikanibidi niwahiNaona umefika mdogo angu
Tulikuacha wapi tena????