Makapuku Forum

Kaka nimekusoma sana... Inabidi hiki ki-segment kiwepo kila siku sasa ikibidi mana sio kwa utamu huu
 
Ukitoa shilingi 10,000 bar unaonekana kibopa lakini ukitoa hiyo noti kwenye daladala unaonekana msumbufu.. Hii inaitwa muktadha... Ukivaa gauni refu la kitenge kanisani unaonekana una maadili ila ukivaa gauni kama hilo club unaonekana mshamba... Hii inaitwa utambuzi... Ukinyoa para kama una hela unaonekana smart ila kama ni masikini unaonekana chokoraa.. Hii inaitwa nguvu ya pesa.


MUWE NA WEEKEND NJEMA WAUNGWANA......
 
 
Huyu hakuwa mbishi asee, unaanzaje kujiuwa wakati ulikua unamiliki jeshi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…