Makapuku Forum

Ni kweli, ila na uvumilivu wa kocha, baada ya kuvurunda kwenye mashindano ya mataifa ya mwaka 2008, wahispania wengi walitaka atimuliwe kabisa, lakini Chama kikawa na imani naye, na baadaye wakaona matunda yake
 
Kuweka rekodi sawa.

Hispania alibeba ubingwa wa Mataifa ya Ulaya mwaka 2008 chini ya Luis Aragones.

Unamkumbuka Marco Senna.
 
La Masia
Fainali UEFA Manyau tulinyanyaswa sana mpira ukawa mdogo km goroli

Asubuhi yake nikavikuta vitoto vinacheza mpira na jezi za Barca nilitamani niwapige makonzi na kuwapora mpira

........
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…