Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,270
Leta mambo mkuu..Leo katika Historia:
Aliona fedheha..1970 - Salvador Allende anachaguliwa kuwa Rais wa Chile.
Miaka mitatu baadae anapinduliwa katika kile kilichoitwa mapinduzi ya Kijeshi yaliyoungwa mkono na CIA na kumiweka madarakani kibaraka, General Agusto Pinochet.
Baada ya kupinduliwa Rais Allende alijiua kwa kujipiga risasi.
Kodak bado ipo?! na hii teknolojia ya kujipiga picha na simu mmhLeo katika Historia:
1888 - George Eastman anaanzisha kampuni yake ya Kodak huko Marekani.
Kodak inajihusisha na utengenezaji na usafishaji wa picha.
Leo katika Historia:
1888 - George Eastman anaanzisha kampuni yake ya Kodak huko Marekani.
Kodak inajihusisha na utengenezaji na usafishaji wa picha.
Thanx baby
Chochote kwako, kwangu mara mbili.
Wamesababisha kifo1970 - Salvador Allende anachaguliwa kuwa Rais wa Chile.
Miaka mitatu baadae anapinduliwa katika kile kilichoitwa mapinduzi ya Kijeshi yaliyoungwa mkono na CIA na kumiweka madarakani kibaraka, General Agusto Pinochet.
Baada ya kupinduliwa Rais Allende alijiua kwa kujipiga risasi.
1970 - Salvador Allende anachaguliwa kuwa Rais wa Chile.
Miaka mitatu baadae anapinduliwa katika kile kilichoitwa mapinduzi ya Kijeshi yaliyoungwa mkono na CIA na kumiweka madarakani kibaraka, General Agusto Pinochet.
Baada ya kupinduliwa Rais Allende alijiua kwa kujipiga risasi.
Bado ipo SP.Kodak bado ipo?! na hii teknolojia ya kujipiga picha na simu mmh
Wao hawajali sana.Wamesababisha kifo
Ipo sana tuKodak bado ipo?! na hii teknolojia ya kujipiga picha na simu mmh
Inaleta Tanzania