Nimegundua kitu ukiwa HATER/Snich kazi ipo hasa pale unapo"hate" na kutegemea hicho kitu kitakwama bila uwepo wako
.....inapotokea kikazidi kushine unaishia kutumia nguvu nyingi ukiwa pembeni kujishaua/kujionesha kwamba bado upo juu
Wenye akili wamenielewa mfno upo kwa Makapuku uchwara now wanatangatanga na kujipendekeza kwa vikongwe lakini wanaishia kupotezewa tu
Think twice before being a Snitcher/hater
...................................