makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,449
- 108,523
Sometimes nakosa maneno sahihi yakueleza vile nakupenda.. Nikiandika kwa maneno ndio yatakuwa maneno ntajaza kitabu cha page 10000 na isitoshe, nikikutungia nyimbo itakuwa best song ya mapenz kwa muda wote mpaka kiama..[emoji7] [emoji7]I will always make you feel special...we belong together my darling. Kiss [emoji9]
Hahaha itakua alipatwa na jua janaHuyo ni yeye acha ubishi shem...ohoo![emoji28][emoji28][emoji28]
You say it better...when you say nothing at all...[emoji4][emoji178]Sometimes nakosa maneno sahihi yakueleza vile nakupenda.. Nikiandika kwa maneno ndio yatakuwa maneno ntajaza kitabu cha page 10000 na isitoshe, nikikutungia nyimbo itakuwa best song ya mapenz kwa muda wote mpaka kiama..[emoji7] [emoji7]
Dole tupu..Ntakuchora hata ya uchangani...mi na wewe tena. [emoji4]
Alipatwa!![emoji2][emoji2]Hahaha itakua alipatwa na jua jana
Thanx honey...[emoji7]Love u mo everyday
twisted
Viva forever
Huamin sasa mpenz..Weweee....[emoji46][emoji46], ila shwari tu.
AsanteNa kwako pia.. pamoja na Mussolin5
Itakuwa mfurugo..Sana tu mwanangu.. afu dj wetu Cobblepots atakua anascratch humo
Bonge la idea ila ile kwenye titanic jack alimchora rose pekeake hakuchora picha ya wote wawili... yan sipati picha pozi atakaloweka Jimena kama rose [emoji85][emoji85][emoji7] afu bila nguo sasaTena nashauri mchore kama vile Jack na Rose wa Titanic...ndio itanogako zaidi eti shem idea yangu nzuri eeh?! [emoji4][emoji4]
Haya naamini sasa....Huamin sasa mpenz..
Idea imetiki....[emoji126][emoji126][emoji126][emoji38][emoji38]Bonge la idea ila ile kwenye titanic jack alimchora rose pekeake hakuchora picha ya wote wawili... yan sipati picha pozi atakaloweka Jimena kama rose [emoji85][emoji85][emoji7] afu bila nguo sasa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] huyo jamaa huwa ananichekesha sanaItakuwa mfurugo..
Ina senga's voice
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji7] [emoji7]You say it better...when you say nothing at all...[emoji4][emoji178]
Na wewe je mpenz..!!?Thanx honey...[emoji7]
Aaiiiii... Kamnyweso..!!!Bonge la idea ila ile kwenye titanic jack alimchora rose pekeake hakuchora picha ya wote wawili... yan sipati picha pozi atakaloweka Jimena kama rose [emoji85][emoji85][emoji7] afu bila nguo sasa
Mi hapoNa wewe je mpenz..!!?
Huyo ndo anafaa mkuu anakaba na kushambuliaTatiZo lake ana kiherehere cha kwenda kushambulia
........
AmenSabato njema Kapukuz!
Mimi kwakweli mzee senga nikimuangalia tu naona ni kichekesho toshaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] huyo jamaa huwa ananichekesha sana