Pikcha pleaseHivi jaman, ngolo kante alizaliwa kwenye kupatwa kwa jua nini...
Cha kustajaabisha game ya mwisho wanakabidhiwa ubingwa alikuja na ndugu zake.. Katika ndugu zake yeye ndio zeruzeru..
Alisema nini???Kwann hamumpend Le babaz jaman? ujue nilisikiliza kipind alihojiwa na Zamaradi mtetema yani hadi huruma
No. 6 ya keith sweet, umenikosha mnoo..KAPUKU'S WEEKEND TOP 10 VIBES:
1. Ginuwine- Love you more everyday
2. Boys to men- Dreams
3. Miss Jackson- Outkast
4. Gangster Pardise- Coolio
5. Ready or not- Fugees
6. Twisted0Keith Sweat
7. No Scrubs- TLC
8. Viva Forever- Spice Girls
9. Thank you- Dido
10. Life- Des'ree
CC: Sweetiepie , Jimena , Bitoz , briz, shululu , werrason
Mfupa hauna ulimi.Ulimi hauna mfupa
Nashkuru, lete khabar kaka.Niko poa jirani yangu
Msubir bitoz, atakuletea utamu.Pikcha please
Kesho tunacheza na naniNashkuru, lete khabar kaka.
Games mpaka tarehe 10Kesho tunacheza na nani
Umesomeka mukongoGames mpaka tarehe 10
MiaUmesomeka mukongo
Sio wa maru maruView attachment 392406nimeupenda huo mulango[emoji12]
Asante jiraniUlimi hauna mfupa
Hakika this is love....[emoji7][emoji7]. Kiss!!Kaishatoka, kaniambia hajiskii vizur ndio naenda kumjulia hali..
Liwezekanalo leo lisingoje kesho mpenz.. The way u treat me n upendo unaonesha kwangu ni mkubwa.. Sion hata cha kukulipa, so lolote ninalotaka kufanya kwako usinikataze, ni jukumu langu kurudisha kile unachonipa mpenz..
(Tukiwa kwenye pozi la mkumbato)
Dizain kama yule mwanamke aliyezaa naye anamchafua mitandaoni na haelewi kwann wakati walishaachana anasema hiyo pia ni source ya watu kumchukiaAlisemaje, kwa kifupi tu
Glil io duguSio wa maru maru
Proud of you too my love..[emoji9][emoji9][emoji9]Watu na shemej zao bhana..
Pongez kwa wazaz wenu watoto mmefundwa mkafundika. Im Proud of u warembo
Nimecheka sanaaa!!!
Poa nashukuru kusikia hivyo.Nmemkuta, anakusalimia..
Sent via sms.