20sek ya notiIlikuwa yangu naiomba
So cwt, zaid ya jina lako...Tayari nimempa leo asubuhi kwa mara ya kwanza si unajua tuko honey moon...afu mjanja eti akaniandalia breakie kabisa ili aninogeshee...
Kitakuwa kimekatikia nasikia uko siku za hatariTayari nimempa leo asubuhi kwa mara ya kwanza si unajua tuko honey moon...afu mjanja eti akaniandalia breakie kabisa ili aninogeshee...
Ni kama obama na michelle ama jiga na beySanaaaaa
Kwasasa ndio best couple in the world
G.morning my shemGmorning peoples!
Hahaha nimeipenda hii... Ndo kifupisho chake lakin
Cha gerezani au cha shatiHuyu kijana sijui ananitaftia nini.. Unajua bastola yangu toka ninunue sijamuadabisha mtu zaid ya kupopoa ndezi.. Sasa muache, ananitaftia kifungo cha maisha huyu.
Mwaka juzi nilijiokotea 100 wapuuzi wale wakajua ni mimi nilikuwa nimeidondosha...20sek ya notikuna mtu akawa ananishinikiza niiache eti itakuwa wanafunzi ndio wamedondosha nikaona asiniletee siasa nikaiweka kwenye mkoba kisha nikachukuanikaendelea na safari zangu
Niwie radhi ndugu yangu...Tafadhali sana braza kaka, ishieni hukohuko kwa swt p
Fanya hivyo upesi huba wa mie mana sio kwa mtima huu aseeNgoja nifanye mpango nije ili tulitokomeze kabisaaaa
Weka picha sasaAiss...mizigo yote!mi hapana ila labda itokee tu....
Thnx lv..Ooh jamn unajua sana kupika mupenzi.....
Njoo nimeiweka palee kbtnKwanza hata keki yako na 123 hukuileta humu...uchoyo huo...
Sasa baada ya kuona wewe na 123 moto moto nikapata makazi mengine...we naweNina hati miliki ya swt p naona unaintafia
Kikwetu wanasema "bhazenganwa batibisaga madako" sijui ina maana ganiJiraniiii....
Ndio sa ivi kawaida sana barid linakuepo kidogo usikuIla sasa imepungua sio kama wakati unafika iringa
Kwa hapo umepatikana jiraniKwakweli tusiziache hizi kwa usalama wa Kiss zetu.
Haijambo kwakweli...life inasongaSalama jirani, vp familia haijambo
Mrng shem lakeG.morning my shem