Mi nimeokota mara ya mwisho June 2014 nusu niiache labda mwenyewe atarudi kuitafuta ila nikapiga moyo konde nikaichukua kuliko niache aokote mtu mwingine bure
Huyu kijana sijui ananitaftia nini.. Unajua bastola yangu toka ninunue sijamuadabisha mtu zaid ya kupopoa ndezi.. Sasa muache, ananitaftia kifungo cha maisha huyu.