Makapuku Forum

Habari za kiintelijensia zinasema alikuwa akitegemea kupata mtoto wa Dodi ndio maana Royal family haikuweza kustahimili
 
Asante sana Musso kwa historia
 
Hellooo fellaz, niaje humu ndani? Za masiku? Nimeimiss sana KF... naona uzi unapepea kama kawa, ndo kwanza niko nasoma post ya 88304 sa ivi sijui ntafika sa ngap huko mlipo.
Afu naona wengine wameni-wish RIP hahahahaaaa mi sijafa bana acheni hizo

Welcome back
Miss u so much briz
Sio kwa mkwara huu uliorudi nao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…