Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Utaelewa polepoleSijaelewa bado ujue..
![]()
Utaelewa polepoleSijaelewa bado ujue..
![]()
Itabidi afutwe kazi tu mana hamna namna sasaWewe jirani wewe
Haturudi hadi keshoBasi ngoja nifunge milango tu nkajua watarudi...![]()
Asante sana uncleCc jimena
Cc szczesny



Huyu lazima ananyonyesha
Cc sweetiepieItabidi afutwe kazi tu mana hamna namna sasa
Mu7 hana tofauti sana na alcoholHuyo kipara mbona yy anaongoza Kifalme halafu kila siku Besigye anapewa kibao
![]()
![]()
![]()
........
Kaza butiHhmm.. We mtoto koma we, unaniitaje mie kaka, unataka kuninyima nini.. Kaka yako tumezaliwa tumbo moja!!![]()
![]()
Umenichefua kuniita kaka.. Nahisi kutapika, hebu niite hny, bby n.k nikate kichefuchefu..![]()
![]()
![]()
Acha kukaririHuyu lazima ananyonyesha
Panadol 1 anaweza kuonekana leo hapa
Weka pichaAcha kukariri
.......
Ikiwa utapenda.Je na mimi ni kapuku?
Nashukuru kwa makaribisho mwananaIkiwa utapenda.
Nenda page ya 1 soma post ya 1- 3 karibu ujichanganye na wenzio
Weka picha