Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha una manenoo matam haswaaaa...we si mtu mzuri wewe kaka Makaveli [emoji85]
Hhmm.. We mtoto koma we, unaniitaje mie kaka, unataka kuninyima nini.. Kaka yako tumezaliwa tumbo moja!![emoji57] [emoji57]
Umenichefua kuniita kaka.. Nahisi kutapika, hebu niite hny, bby n.k nikate kichefuchefu..[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
1472415312104.jpg

Ukutaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
 
Back
Top Bottom