Makapuku Forum

Napaelewa nje ndani, ila napapenda amani Beach kuliko ras kutani
Pale ni kimbiji kigamboni unakuwa umeicha mbali sana
Ras kutani nilifurahia tu nilivyofanya kayak kwenye lile bwawa kama mto lenye na nilivyofanya tour ya kutembea mwenye lile pori lenye ngedere wengi hadi mwisho...pia niliogelea i felt safe kuliko baharini...amani ni pakubwa zaidi nakubali pametulia pia, swimming siku enjoy sana maji yanawekwa dawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…