makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,995
- 104,509
Naimani alinunua tv nyingine kwa furaha, si kwa majonz tena.. Na wasawasi wangu asingenunua tv tena kama angekuta asubuh zimeongezeka kuwa 5 0clockHatareee
Kuna jamaa yetu ilivo kuwa 3-0 alivunja Tv kesho anavo amka kwenda kutupa, akaskia liva walishnda et
Halafu mbaya zaidi huyu binamu mi namzimikia mpaka mwishoWatu ni mavampire hawazeek..
Yes kama hatuko Utah vileHuyo ndo my cousin
PointYap alikuwa ndani ya Cabinet, lakini pia mpinzani ni mpinzani tu.
Hahaa... Kama namuona vile, kauli yake iliniuma kichiZ..Kichekesho kilikuwa yule mtamgazaji baada ya Crespo kufunga gori la Tatu, alisema imekwisha na liver hawana Chao, walivyochukua ubingwa alisema, tunapaswa kuzungumzia mpira ukiwa umeisha
HahahaNaimani alinunua tv nyingine kwa furaha, si kwa majonz tena.. Na wasawasi wangu asingenunua tv tena kama angekuta asubuh zimeongezeka kuwa 5 0clock
Hahaaa...Na muhasisi wa Stallet tutamuhitaji siku moja...maana ni mbunifu
Aliumia sanaHahaa... Kama namuona vile, kauli yake iliniuma kichiZ..
Halafu mbaya zaidi huyu binamu mi namzimikia mpaka mwisho
Pakoje aiseeAtaenda peponi huyu
HahahaPoint
Ana jina la ki harakati huyu1975 - Haille Selasie anafatiki Dunia.
Alikuwa ni mfalme wa Ethiopia.
Mie arsenal, ila siku ile nilitaman sana liver inyanyue kwapa.. Nilikuwa mshabik wa wachezaj wao wengi, ukianza na luis garcia..Hahaha
Nlikuwa siipendi milan kuliko liva
Ajabu kwl kwl
Shaur lwake.. Watu huku wameshanyanua kwapa.Aliumia sana
Sawa naanza kufanya hivyoEeeh
Mama watoto
Sana sasa bora we ArsenalMie arsenal, ila siku ile nilitaman sana liver inyanyue kwapa.. Nilikuwa mshabik wa wachezaj wao wengi, ukianza na luis garcia..
Naomba jimena unitajie hili jina katika lugha yetu ile nifarijike kidogo. "Luis Garcia"
We kibokoBora wachache tunaoelewana kuliko wengi tusioelewana
Mi sijammiss uchwara ht mmoja
...........
No matter
Alikuwa waziri wa mambo ya ndani
Walipingana kipind tuu cha kupigania uhuru
Para siempreGracias mi guapa...
Aliweka historiaUnamuachaje Alonso nje katika usiku ule wa Instabul?
Mtu aliyepiga penati ya kusawazisha?? Mimi huwa namkubali sana Xabi.