Makapuku Forum

7, Taiping Rebellion
Makadirio ya vifo: 40 Million mmh jaman nisiwe muongo hii sja ielewa
Ila wanao jua lughanisaidie " Jump forward a thousand years and the Chinese are at it again – this time with some help from the French, the British, and some American mercenaries. In 1850, the Qing Dynasty is now in charge of China. They had suffered some major problems before the rebellion, with natural and economic disasters causing havoc – not to mention the Europeans bringing opium addiction to China. So up stepped Hong Xiuquan, who amongst other things claimed to be the younger brother of Jesus Christ. Hong established the Taiping Heavenly Kingdom – and the carnage began. The Taiping Rebellion happened at roughly the same time as the American civil war, though the latter conflict proved to be far less bloody".
 
6, Njaa ya kubwa ya China-makadirio ya vifo:43 million sasa hapa ndo ilitakiwa rais wa Bongo ajifunze, hii njaa ilitokana na mchi kubadilishwa karibu kila kitu kwa muda mfupi

Nchi ya China baada ya kuingiza u komunisti na serikali ya mao kuanza kazi , njaa kubwa ilitokea mwaka 1958-1961, japo tatizo lilianza na kuwepo kwa ukame mkubwa sana miaka hiyo, lakini ina aminika pia serikali ya China ilikosea kwa kuamua kubadiki sera nzima na namna nzima ya uendeshaji wa Kilimo, ambo ulilenga kukuza viwanda na umiilikaji wa pamoja wa ardhi huko China na hapo ndipo watu walipo kiona cha moto, kwani ulipo tokea ukame serikali ilishndwa kukabiliana nao

Japo china sasa hvi ni taifa kubwa, mabadiliko yaligaharamikiwa na damu za watu
 
Hiyo Nukuu inatuhusu sana sie huku wa Bongoland mana mambo yanavyoenda sivyo hata!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…