Makapuku Forum

Hatari kubwa
 
Ndiyo njia wanayotumia Wamarekani sasa kupambana na Zika kule Miami na Key West Florida. Kwa Anopheles anayetupa Malaria wameshashindwa au kwa vile ni biashara kubwa ya makampuni yao ya madawa?
Mkuu umetisha...mi mwenyewe siwaelewi wamarekani nahisi wana vipara hadi makalioni
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
 
Alikuwa na aina fulani ya gigantism. Mbaya zaidi ya kwake ilifanya mifupa yake iwe brittle na magoti yalikuwa yanavimba. Ndo maana hakuwa na impact kubwa kwenye NBA kwani alicheza kwa muda mfupi sana tena kwa kuchechemea chechemea tu!
Lakini rekodi yake itaishi milele
What is better than record?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
..........
 
Sheria inasema kila anaetembea na chombo cha moto barabarani sharti awe na leseni

Sasa hawa wauza kahawa mbona wanatembea na chombo cha moto lakini hawakamatwi
Hizi sheria muda mwingine anaetunga hua hafikiriii vzuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]
..............
 
Kuwa Rubani wa Ndege haimaanishi ndio utakuwa Rubani wa Ndoa,...Unaweza kuwa Mwanajeshi tena Brigedia lakini kwen ye Ndoa ukawa Kuruta....Mwanasheria unaweza kusimama kwenye Court kwa ustadi lakini kusimama ndani ya ndoa ni zaidi ya Extended Jurisdiction!

Mapenzi sio Mchezo....Maprofesa wanakuna Vipara...Formula hakuna!.....Research zimebuma!..No Submission!....once U fall in Love heshimu hisia kwanza Status & Personality baadae!

Kijana naweza leo nikawa na ndoto ya kumuoa Miss World lakini kesho nikaishia kudondokea Katika Penzi zito la Binti Afisa wanyamapori Kitalu cha Kutunza NGIRI kule Mikumi. That's Love!
Unaweza sema utamuoa Mrembo Engineer tena under eighteen lakini ukaishia kupeleka Mahari kwa Bibi mstaafu wa Kiwanda cha Tumbaku Morogoro!,..That's Love!

Wapo Warembo Very Selective na waliowahi kutamba kwamba wataolewa na Vijana MA-handsome na Ma-tall lakini mwisho wa siku wakajikuta wamezama kwenye mapenzi mazito na Vibabu vistaafu Tanganyika Packers 1992,..yaani Kibabu ngozi imekauka .. Babu hapigwi busu mpaka apakwe Mayyonise....That's Love!

MAPENZI KWELI HISIA!...Huwezi jua! TUHESHIMU WENZETU.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...............
 
Lakini rekodi yake itaishi milele
What is better than record?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
..........
Are records that important in life? Kama ni hivyo, wewe umedhamiria kuacha rekodi gani kabla watu hawajakuimbia "Parapanda italia Parapanda...?" Makapuku founder? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Are records that important in life? Kama ni hivyo, wewe umedhamiria kuacha rekodi gani kabla watu hawajakuimbia "Parapanda italia Parapanda...?" Makapuku founder? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ptredict & win
Kwanza mimi sifi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…