Makapuku Forum

Kulikuwa na mkutano mkubwa kule Cuba majuzi hapa kujadili hii ishu. Kuna nchi uchumi wao kwa kiasi kikubwa unategemea ndizi na wana wasiwasi sana hasa baada ya kuzuka ka mdudu fulani ambako hawajakapatia dawa. Cha ajabu ni kwamba yote haya ni matokeo ya wanasayansi wenyewe walipoamua kutumia ndizi za aina moja kwa kisingizio kuwa haziathiriki na magonjwa kwa urahisi. Mbaya zaidi washenzi wa kampuni kubwa la mbegu la Monsanto wanachezea DNA za mazao mbali mbali kama hawana akili nzuri. Mpaka wamechanganya DNA ya aina mojawapo ya Samaki na machungwa. Na mbegu hizi tunauziwa mpaka sisi huku Afrika. Ni hatari!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…