EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hahahaaa..... Yule bibi mbishi kweli, hataki kuonekana ameshindwa. Atakomaa mpaka awe mshindi.naona umemkera mpaka umemfukuza bibi yangu
![]()
![]()
![]()
![]()
ngoja nimuite tena..
Hahahaaa..... Yule bibi mbishi kweli, hataki kuonekana ameshindwa. Atakomaa mpaka awe mshindi.naona umemkera mpaka umemfukuza bibi yangu
![]()
![]()
![]()
![]()
ngoja nimuite tena..
Bae eti huyo wa kuitwa HOPECOMFORT ni nani yako? Maana ana shoboka sanamlenda flani hivi bae

nmeshamuita tayari, hvyo tegemea ujio wake soonHahahaaa..... Yule bibi mbishi kweli, hataki kuonekana ameshindwa. Atakomaa mpaka awe mshindi.
Bae eti huyo wa kuitwa HOPECOMFORT ni nani yako? Maana ana shoboka sana![]()
![]()
![]()
mmh! hii ngumu kumeza... sitii neno, mtajuana wenyewe

saa mingi sana mbona, mkuu ..Bro upo? Ulipata time ya kupumzika?
Yeye aje tu, hata simwogopi.nmeshamuita tayari, hvyo tegemea ujio wake soon
anakutaka ndo maana anakushobokea, si kama mimi kipindi kile nilikuwa nakusubiri pale chini ya mti au umesahauBae eti huyo wa kuitwa HOPECOMFORT ni nani yako? Maana ana shoboka sana![]()
![]()
![]()
umeonaeUnywe na kiburu cha kutosha
safi sanaaaaaa, ni bora madrid ikutane na Bayern kuliko ikutane na Atletico..![]()
UCL SEMI FINAL
............
Hiyo team yenye yule wa kwenda Morocco lazima watolewe tu![]()
UCL SEMI FINAL
............

Kila LA kheri Real Madrid![]()
UCL SEMI FINAL
............
Ni shida kwakweliIla na we ni nouma... Mbishi ka dadaetu jide
Real v Citysafi sanaaaaaa, ni bora madrid ikutane na Bayern kuliko ikutane na Atletico..
Nipo Man City kwa mkopo ....nawatakia kila la heri.![]()
UCL SEMI FINAL
............