Makapuku Forum

Mipango yao kufeli huwa ni nadra sana, hata watumie miaka 50 lazima wafanikiwe
Kuna declassified papers zimetolewa kama documentary jinsi walivyohangaika kumuua El Commandante Fidel Castro lakini wakashindwa inashangaza. Wanakiri kabisa kuwa hawajawahi kuona mtu mwenye mtandao wa kiusalama, machale na common sense kama Fidel...

Yeah...Kuna mifano mingi tu ambayo huwa wanashindwa kupata wanachotaka na kuishia ku-under estimate hali halisi (Black Hawk Down, Benghazi...)
 
Pia Operesheni Eagle claw
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…