Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Mungu awabariki hawa watu10. Brazil View attachment 386530nchi hii ya amerika kusini ni nchi ambayo wanaishi matajiri hasa na maskini wa kutupa humo humo, so wananchi wa Brazil ambao wengi ni wakatoliki wana zungumza kireno na wareno na wa hispania ndio walipeleka dini ya ukatoliki huko toka karne ya 16, na dini nyingne nyingne zipi, wakati 64% ni wa katoliki, 22% ni wa protestant, japo kuna atheist wakutosha pia, asilimia 85 ya Wa Brazil wanaamini wao ni wana dini na hushiriki ki kamilifu mambo yao ya kidini
Wako vizuri hawa watuView attachment 386549View attachment 386550View attachment 386551
Brazil Jesus Christ statue
.............
Unasema kweli bitoz Kenya wanaikimbiza Naijeria kwa utapeli.Sasa mbona ni waonvowaongo na matapeli
.... ......
Japo sio wote...lazma wapo watu descent wacha Mungu kiukweli.Sasa mbona ni waonvowaongo na matapeli
.... ......
7. Iraq View attachment 386548yaan hawa ni wna dini hado wana uana sasa, asilimia 95 ya wa Iraq ni wa islam, na watu wa dini nyingne ni wachche au hawapo kwani wengi walikimbia baada ya Iraq kuvamiwa na Marekani mwaka 2003, kwani waliogopa wata kuwa wakiteswa, wakati ikiwa hali ni hiyo, asilimia 88 na kidogo wana amini wao ni wana dini wazuri kabisa, japo ina fahamika sana kuwa kwa hali ile ya machafuko watu lazma wamkaribie Mungu wao kwan muda wwte una weza kuondoka dunian, pia ni asilimia 6, tuu ndo wao wana jiona kama si wana dini wazuri
Nadhani wakigundua wewe ni mkrito wanakuua. Sio kwa idadi hiyo ya waislam.7. Iraq View attachment 386548yaan hawa ni wna dini hado wana uana sasa, asilimia 95 ya wa Iraq ni wa islam, na watu wa dini nyingne ni wachche au hawapo kwani wengi walikimbia baada ya Iraq kuvamiwa na Marekani mwaka 2003, kwani waliogopa wata kuwa wakiteswa, wakati ikiwa hali ni hiyo, asilimia 88 na kidogo wana amini wao ni wana dini wazuri kabisa, japo ina fahamika sana kuwa kwa hali ile ya machafuko watu lazma wamkaribie Mungu wao kwan muda wwte una weza kuondoka dunian, pia ni asilimia 6, tuu ndo wao wana jiona kama si wana dini wazuri
Na huko ndio dini ilikoanziaView attachment 386558View attachment 386559View attachment 386560
Wana misikiti mingi kuliko bar
........
Hadi Mlima Kilimanjaro wametutapeli ....bado kututapeli UKUTA tuUnasema kweli bitoz Kenya wanaikimbiza Naijeria kwa utapeli.
Hilo ni Taifa la Kiislamu "Islamic State" wanafuata sheria za Kiislamu "Sharia" hivyo usipoenda na kanzu au kupiga kimini kazi unayoNadhani wakigundua wewe ni mkrito wanakuua. Sio kwa idadi hiyo ya waislam.
Haya bana watu na itikadi zao...Hilo ni Taifa la Kiislamu "Islamic State" wanafuata sheria za Kiislamu "Sharia" hivyo usipoenda na kanzu au kupiga kimini kazi unayo
.........
We call it Islamic StateNa huko ndio dini ilikoanzia
Ukuta nao mbona...Hadi Mlima Kilimanjaro wametutapeli ....bado kututapeli UKUTA tu
...........
Odinga ameishaanza kuimezea mate hiyo idea ya UKUTAUkuta nao mbona...
Mi Mkristo lkn namiliki kanzu na kikofia cha kuzugia 7bu nazurura mikoa mingi mfn Tanga,Kigoma.Zenji huko bila kanzu unajishtukia kwa mwenyeji wako...hata futari huliHaya bana watu na itikadi zao...
Watu gn hawapo mkuuSawa, japo watu hawapo.
Mbunifu kwenye hiyo T-shirt katisha sana
Mbunifu kwenye hiyo T-shirt katisha sana
Lakini wametudhulumu mvunja UKUTA yaan magu, wanadai ni mkenyaHadi Mlima Kilimanjaro wametutapeli ....bado kututapeli UKUTA tu
...........