Makapuku Forum

Umeona sasa, nilikuambia Bush Jr aka Bush the second hakuwa mbabe ila washauri wake na watu waliomzunguka ndio walikuwa wababe sana mwishowe wakampoteza.

Hata yeye Bush Sr amemuharibu sana mwanae.
safi mkuu inaonekana unayajua haya mambo vizuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…