Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,243
Mtanzania mwenzetu anatutoa kimasomaso.Yupo vizuri
Mtanzania mwenzetu anatutoa kimasomaso.Yupo vizuri
hahaha...kigodoro hiki.Mpaka asubuhi ila tu hatukeshi
Labda zege la KasuluInapobidi huwa linalala
Usingizi huooo...ila sitokuangusha.Hahaha
Yamewashinda
Kesho nayo sikuMka pumzikeeeee
Ligi nyepesi.
Kesho dogoMka pumzikeeeee
Sawa broKesho dogo
Mi naishia hapa kwa hisani ya Babu Jinga lile
USIKU MWEMA
.........................
Mimi bado nipo.Kesho dogo
Mi naishia hapa kwa hisani ya Babu Jinga lile
USIKU MWEMA
.........................
Kubwa lao kakuachia majukumuSawa bro
Nalinda grp
Basi uwe ananiuliza ili usipoteeHahahaa
Anhaa
Mimi huwa napenda tu kujifunza kuhusu American history especialy presidential ones
Ila ukinitoa nje ya hapo nna potea
hahaha...huo sasa mkwaraBasi uwe ananiuliza ili usipotee
Aione Sweetiepie hii popote pale alipoI luv u more![]()
![]()
![]()